Tisho kwa Raila baada ya SADC kuwaomba wanachama kumuunga mkono mgombea wa AU wa Madagascar

Matumaini ya kiongozi wa upinzani wa Kenya Raila Odinga ya kupata kiti cha Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika yameingia mashakani baada ya SADC kuziandikia nchi 16 za muungano huo izikiomba kumuunga mkono mgombea wa Madagascar.