TikTok inavyonufaika kutokana video za ngono zinazohusisha watoto

Wasichana wadogo nchini Kenya waiambia BBC wametumia jukwaa la TikTok kuuza maudhui ya ngono tangu wakiwa matineja