Thomas Friedman amwambia Trump: Netanyahu si mshirika wetu, ni tishio kwa maslahi Marekani

Mwandishi mashuhuri wa Marekani anayeiunga mkono Israel, Thomas Friedman ametuma barua kwa Rais Donald Trump akieleza kufurahishwa kwake na mienendo yake ya hivi karibuuni mkabala wa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu. Friedman amesisitiza kuwa serikali hii ya Israel si mshirika wa Marekani na ina mienendo ambayo inatishia maslahi ya Marekani katika eneo la Asia Magharibi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *