Theluthi moja ya Wacanada wanaichukulia Marekani kuwa ni “adui” wa nchi yao

Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni yanaonyesha kuwa idadi kubwa ya Wacanada wanaitazama Marekani kama adui yao kutokana na kauli na vitisho vilivyotolewa na rais wa nchi hiyo Donald Trump dhidi ya nchi yao.