The Guardian: Marekani inashikiliwa mateka na kundi la majambazi wa mrengo wa kulia

Gazeti la The Guardian limemtaja Rais wa Marekani, Donald Trump, kuwa ni mhubiri wa “utovu wa maadili” duniani.