Gazeti la The Guardian limeripoti kuwa mamlaka za Ugiriki zinawashikilia mamia ya wahamiaji hususan kutoka Afrika chini ya sheria kali inayopiga marufuku magendo ya binadamu ambayo ilianza kutekelezwa mwaka 2014 na kuwaadhibu wanaokiuka sheria hiyo hadi kifungo cha miaka 25 jela.
Related Posts
Leo ni siku ya maombolezo nchini kufuatia mripuko ulilotokea katika Bandari ya Shahidi Rajaee
Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa, leo Jumatatu ni siku ya maombolezo nchini kote kufuatia tukio la…
Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa, leo Jumatatu ni siku ya maombolezo nchini kote kufuatia tukio la…
Uhusiano wa kibiashara wa Iran na Oman wazidi kustawi
Waziri wa Viwanda, Madini na Biashara wa Iran ametangaza habari ya kuzidi kustawi na kuimarika uhusiano wa kibiashara baina ya…
Waziri wa Viwanda, Madini na Biashara wa Iran ametangaza habari ya kuzidi kustawi na kuimarika uhusiano wa kibiashara baina ya…
Tahadhari kuhusu kukamatwa wanafunzi wanaoiunga mkono Palestina nchini Marekani
Tovuti ya Axios imeonya kuhusu kuendelea kukamatwa wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoiunga mkono na kuitetea Palestina nchini Marekani. Post Views:…
Tovuti ya Axios imeonya kuhusu kuendelea kukamatwa wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoiunga mkono na kuitetea Palestina nchini Marekani. Post Views:…