Tetesi za sola Ulaya Ijumaa: Isak wa Newcastle anaitamani Liverpool

Mshambulizi wa Newcastle na Uswidi Alexander Isak, 25, anavutiwa sana na kuhamia Liverpool