Tetesi za Soka Ulaya: Vinicius Jr kutua Ligi kuu Saudi Arabia

Darwin Nunez ni miongoni mwa wanaosakwa na Atletico Madrid, Joao Pedro anasakwa na Liverpool na Vinicius Jr huenda akatua ligi ya Saudi.