Tetesi za soka Ulaya: United macho kwa Quenda wa Sporting

Ruben Amorim awataka Manchester United kumsajili Geovany Quenda, West Ham wamtaka Taylor Harwood-Bellis, huku Real Madrid ikigomea dau la Jarrad Branthwaite