Tetesi za soka Ulaya: Man City inamtaka Florian Wirtz

Manchester City inamtaka Florian Wirtz wa Bayer Leverkusen, Alexander Isak anaweza kuondoka Newcastle dirisha lijalo na Paul Pogba anaweza kujiunga na Inter Miami.