Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu: Newcastle kumuuza Isak ikiwa haitafuzu klabu bingwa Ulaya

Liverpool, Arsenal na Chelsea miongoni mwa vilabu vinavyomuania mhambuliaji huyo Msweden mwenye umri wa miaka 25.