Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu: Manchester United inamtaka Victor Osimhen

Klabu za Manchester United na City zinamuwania Francisco Trincao wa Sporting, United pia ina nia kumsajili Martin Zubimendi na Everton inataka kumsajili Luis Henrique.