Tetesi za soka Ulaya Jumatatu: Leroy Sane njia panda Bayern

Bayern Munich hawana mpango wa kuongeza ofa yao kwa Leroy Sane, Napoli wako kimya kuhusu uhamisho wa Kevin de Bruyne kutoka Manchester City, na Jakub Kiwior wa Arsenal yupo kwenye rada za klabu za Inter Milan na Juventus.

​  BBC News Swahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *