Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu: Jahudi za Man Utd kumsajili Tel zagonga mwamba

Mpango wa Manchester United kumsajili mshambuliaji wa Bayern Munich Mathys Tel watibuka huku Arsenal wakisubiri pembeni, beki wa Chelsea Axel Disasi anawindwa naye Joao Felix anasakwa na AC Milan na Aston Villa.