Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu: Cunha atangaza kuondoka Wolves

Mshambuliaji wa Wolves, Matheus Cunha, anasema anaweza kuondoka klabuni hapo, huku Arsenal ikimfukuzia mshambuliaji wa Sporting, Viktor Gyokeres, na Man City inamtaka kiungo wa AC Milan, Tijjani Reijnders.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *