Tetesi za Soka Ulaya Jumatano: Mo Salah anataka kwenda Uarabuni

Kuna imani nchini Saudi Arabia kwamba mshambuliaji wa Liverpool na Misri, Mohamed Salah, mwenye umri wa miaka 32, yuko tayari kujiunga na Saudi Pro League mara tu mkataba wake na The Reds utakapomalizika msimu huu wa joto.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *