Chelsea wanatazamia kumsajili Morgan Rogers, Real Madrid wanamtaka William Saliba kama sehemu ya kujenga upya safu yao ya ulinzi, huku mabingwa wa Ligi Kuu England Liverpool wakilenga wachezaji watatu – wawili wao kutoka Bournemouth
BBC News Swahili