Tetesi za Soka Ulaya Jumatano: Liverpool wanafikiria kumsajili Rafael Leao

Liverpool wanamtaka Rafael Leao, Darwin Nunez azuiwa kuondoka huku Manchester City wakimuwani chipukizi wa Leicester City.