Tetesi za soka Ulaya Jumatano: Klabu za Itali zawapigania Casemiro na Rasmus Hojlund wa Man United

Wachezaji wawili wa Manchester United Casemiro na Rasmus Hojlund wanavutia vilabu vya Italia, Wolves wajizatiti kupata ofa za Matheus Cunha, Evan Ferguson anaweza kuondoka Brighton, pamoja na zaidi.