Tetesi za soka Ulaya Jumatano: Arsenal, Chelsea na Liverpool wavutiwa na mlinzi wa Bournemouth Dean Huijsen

Vilabu vitatu vinavutiwa na Dean Huijsen wa Bournemouth, Liverpool wamchunguza winga wa Nice Mohamed-Ali Cho, huku Chelsea wakijiandaa kumnunua Pablo Barrios.