Tetesi za soka Ulaya Jumapili: Real Madrid sasa yamlenga nahodha wa Man United Bruno Fernandes kwa £90m

Real Madrid wanapanga kumnunua kiungo wa kati wa Manchester United Bruno Fernandes kwa pauni milioni 90, Manchester City wanavutiwa na kiungo wa Barcelona Pedri na Chelsea wanamtaka mlinzi wa Barcelona Jules Kounde.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *