Tetesi za soka Ulaya Jumapili: Rashford yuko tayari kupunguziwa mshahara ili kujiunga na Barca

Marcus Rashford yuko tayari kuchukua mshahara kidogo ili ajiunge na Barcelona, Real Madrid inaonyesha nia ya kumtaka Jhon Duran, Newcastle inapanga mkataba mpya wa Alexander Isak na mengine mengi.