Tetesi za Soka Ulaya Jumapili: Man Utd wanafikiria uhamisho wa Rashford na Watkins

Manchester United wanafikiria kuwa na mpango wa kubadilishana wachezaji utakaomhusisha Marcus Rashford na Ollie Watkins, Alexander Isak anatazamiwa kusalia Newcastle United na Manchester City wanapanga kumnunua mlinda mlango Diogo Costa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *