Tetesi za soka Ulaya Jumapili: Man United yaongeza kasi ya kumsajili mshambuliaji wa Mali El Bilal Traore

Tottenham wako kifua mbele dhidi ya Wolves katika nia kumsajili Kevin Danso na pia wana hamu ya kumnunua Axel Disasi wa Chelsea, Lloyd Kelly wa Newcastle anatarajiwa kuhamia Italia na zaidi.