Tetesi za soka Ulaya Jumapili: Kiungo wa Liverpool Luis Diaz anataka kujiunga na Barcelona

Nottingham Forest watafufua nia yao ya kumnunua Douglas Luiz, Everton wakimtazama Koni de Winter kama mbadala wa Jarrad Branthwaite, huku Bournemouth wakitumai kufanya mkopo wa Kepa Arrizabalaga kuwa wa kudumu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *