Tetesi za soka Ulaya Jumapili: Je, Harry Kane kujiunga na Arsenal?

Chelsea wanajiandaa kutoa ofa kwa Antoine Semenyo, Liverpool inayomfuatilia David Hancko wa Feyenoord, Barcelona itamruhusu Frenkie de Jong kuondoka msimu wa joto