Tetesi za soka Ulaya Jumapili: Isak anaweza kuigharimu Liverpool £120m

Liverpool huenda ikalazimika kulipa pauni milioni 120 au zaidi ili kumsajili mshambuliaji wa Uswidi Alexander Isak, 25, kutoka Newcastle United – na kukabiliana na ushindani kutoka kwa Chelsea na Arsenal