Tetesi za soka Ulaya Jumanne: Man United kumnunua Nkuku iwapo Rashford ataondoka

Tottenham wanamlenga kiungo na washambuliaji, akiwemo Tyler Dibling wa Southampton, Arsenal wanakaribia kumsajili kiungo wa kati wa Norway Sverre Nypan na Wolves wanamfuatilia Kevin Danso wa Lens.