Tetesi za Soka Ulaya Jumanne: Guardiola kuamua mustakabali wa Grealish

Real Madrid inamnyatia Adam Wharton wa Crystal Palace, Liverpool kuchuana na klabu zingine kumsajili Joshua Kimmich na Bart Verbruggen anafuatiliwa na Chelsea.