Tetesi za soka Ulaya Jumamosi: Real Madrid tayari kumgarimia Alexander-Arnold

Real Madrid wako tayari kulipa Liverpool ada ya kumsajili beki wa kulia wa Uingereza Trent Alexander-Arnold, 26, kabla ya Kombe la Dunia la Klabu mwezi Juni.