Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi: Atletico inafikiria kumsajili Jackson

Atletico Madrid waungana na Aston Villa na Newcastle kumsaka Nicolas Jackson, Paris St-German inamnyatia Ibrahima Konate, huku Newcastle ikiungana na Brentford na Brighton katika mbio za kuwania saini ya Nicolas Kuhn.