Tetesi za soka Ulaya Jumamosi: Al Hilal wanakaribia kutoa ofa ya pauni milioni 100 kwa Fernandes

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi: Al Hilal wanakaribia kutoa ofa ya pauni milioni 100 kwa Fernandes

Nahodha wa Manchester United Bruno Fernandes atapewa muda hadi wiki ijayo kuamua kama anataka kuondoka katika klabu hiyo, huku Al Hilal wakipanga kutoa takriban £100m kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno, 30, ambaye angelipwa takriban £65m kwa msimu nchini Saudi Arabia.

​  BBC News Swahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *