Tetesi za soka Ulaya Ijumaa: Vilabu sita vya ligi ya primia vyamtaka David

Newcastle wameungana na Manchester United, Tottenham, West Ham, Chelsea na Liverpool katika mbio za kumnunua mshambuliaji wa Lille kutoka Canada Jonathan David.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *