Tetesi za soka Ulaya Ijumaa: Nunez yuko sokoni Liverpool?

Liverpool huenda ikamuweka sokoni mshambuliaji wake Darwin Nunez na Man City kusafisha kikosi shake msimu ujao