Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa: Je, Chelsea itafanikiwa kumsajili Guehi?

Chelsea wana imani Marc Guehi atajiunga nao, Manchester United wanavutiwa na Jean-Philippe Mateta wa Crystal Palace na Stuttgart wanamfuatilia kocha Cesc Fabregas.