Tetesi za soka Ulaya Alhamisi: Real Madrid wako tayari kumnunua beki wa pembeni wa Liverpool Trent Alexander-Arnold

Beki wa kulia wa Liverpool Trent Alexander-Arnold anaendelea kuwindwa na Real Madrid, Manchester City wanamtaka kiungo mshambuliaji wa Bayer Leverkusen Florian Wirtz na Arsenal wako katika nafasi nzuri ya kumnunua Nico Williams wa Athletic Bilbao.