Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi: Nico Williams kutua Arsenal, Pep kutimkia AC Milan?

Arsenal wameongeza juhudi za kumsajili Nico Williams, huku Pep Guardiola akiwa miongoni mwa majina yanayopendekezwa kuinoa AC Milan, na Dean Huijsen wa Bournemouth anasakwa na vilabu vitatu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *