Tetesi za soka Ulaya Alhamisi: Chelsea kutoa £70 kwa Marc Guehi?

Chelsea inataka kumrejesha mlinzi Marc Guehi msimu huu wa majira ya joto, huku Martin Zubimendi ambaye aliikataa Liverpool anaweza hatimaye kuelekea ligi kuu England, wakati winga wa zamani wa Fulham, Luis Boa Morte, akiongekana kunyaka uongozi wa timu huko Uingereza.