Tetesi za soka Ulaya Alhamisi: Arsenal kuwasilisha ofa ya pili kwa Aston Villa kumnunua Ollie Watkins

Arsenal kuwasilisha ombi la pili kwa Ollie Watkins, Manchester United wanafanya mazungumzo na Barcelona kuhusu uhamisho wa mkopo wa Marcus Rashford, Tottenham, Bayern Munich na Borussia Dortmund wanamtaka Tyler Dibling.