Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi: Al-Nassr yamtaka Caicedo wa Chelsea

Kiungo wa Chelsea, Moises Caicedo, anahusishwa na uhamisho kwenda Saudi Arabia, Sandro Tonali wa Newcastle anawindwa na Juventus, huku Arsenal wakiambiwa bei ya mshambuliaji wa RB Leipzig, Benjamin Sesko.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *