Tetesi za soka Jumatatu: Isak anapendelea kuhamia Liverpool

Mshambuliaji wa Newcastle Alexander Isak yuko tayari kuhamia Barcelona lakini angependelea kujiunga na Liverpool ikiwa watamnunua mchezaji huyo wa kimataifa wa Sweden mwenye umri wa miaka 25 msimu huu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *