Tetesi za soka Jumamosi: Man Utd wanafikiria kumnunua Delap

Manchester United wanafikiria kumnunua Liam Delap, Vinicius Jr katika mazungumzo ya kuongeza mkataba wa Real Madrid, Manchester City wanamtaka kiungo wa Atalanta Ederson.