Tetesi za Soka Ijumaa: Antony wa United anatakiwa Arsenal

Arsenal wanamtaka Antony msimu wa joto, Manchester United ikimuwinda mshambuliaji Lorenzo Lucca, na Tottenham tayari kumpigania Dejan Kulusevski ili abaki.

​  BBC News Swahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *