Tetesi za Soka: Arsenal bado yamnyemelea Joshua Kimmich

The Gunners wameonyesha nia thabiti ya kumsajili Kimmich, huku makubaliano ya kumsajili kiungo wa Hispania, Martin Zubimendi, 26, kutoka Real Sociedad yakielekea kukamilika.