Tetesi 5 kubwa za soka jioni hii: Kevin De Bruyne athibitisha kuondoka Man City

De Bruyne athibitisha kuondoka City, Chelsea na Liverpool zinapigana vikumbo kwa Marc Guehi