Televisheni ya Israel: Mshambulio ya Marekani hayana athari yoyote dhidi ya operesheni za Yemen

Televisheni ya utawala wa Kizayuni wa Israel imekiri kuwa, mashambulizi ya Marekani ya kuzuia operesheni zinazofanywa na Yemen dhidi ya utawala huo wa Kizayuni hazijawa na athari yoyote.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *