Tehran yaihutubu EU: Shughulikieni jinai za Israel badala ya kutoa madai ya kinafiki

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran, Esmaeil Baghaei amemkosoa vikali mkuu mpya wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Kaja Kallas, kutokana na matamshi yake ya karibuni ya kuitaja Iran kama “tishio” wakati wa ziara yake ya karibuni katika maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu na Israel.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *