Tathmini ya duru ya pili ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani mjini Roma

Duru ya pili ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya timu ya mazungumzo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na ujumbe wa Marekani ilifanyika Jumamosi ya jana Aprili 19, huko Roma, mji mkuu wa Italia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *