Tanzania yathibitisha kuzuka kwa virusi vya Marburg baada ya kukanusha hapo awali

Hii ni mara ya pili kwa virusi vya maradhi hayo kugunduliwa nchini Tanzania mara ya kwanza vikigunduliwa mnamo mwezi Machi 2023 katika eneo hilohilo la Kagera wilayani Bukoba.