Tanzania yapiga marufuku bidhaa za kilimo kutoka Malawi na Afrika Kusini

Serikali ya Tanzania imetangaza kupiga marufuku rasmi bidhaa zote za kilimo kutoka Afrika Kusini na Malawi, kufuatia maamuzi ya awali ya nchi hizo mbili ya kupiga marufuku uingizaji wa mazao ya Tanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *